
Kampuni ya Google imezindua kibodi mpya kwenye simu za Iphone(IOS) ikiwa na muonekano mzuri na kupewa jina la Gboard.
Vitu vikubwa ambavyo vimebebwa na kibodi hiyo ni kuwa na uwezo wa kutuma video, picha muziki na anuani ya mahali unapokaa.
Gboard haina tofauti na kile ambacho tunakikuta katika simu za Android, Google search, sema kwenye Gboard unakuta logo ndogo ambayo mtumiaji wa kibodi hiyo anaweza kutumia bila ya kufungua google search.
0 comments:
Post a Comment