Tamthilia iliyojibebea umaarufu hapa nchini na Kutazamwa kwake kila kipindi Prison break inarudi tena kwa msimu mwingine.
Kupitia luninga ya Fox imetoa tangazo la filamu hiyo ambayo ikimuonesha michael school field amerudi tena ambapo mara a kwanza ilikuwa imesemekana amekufa
0 comments:
Post a Comment