MFAHAMU MVUMBUZI HUYU WA PIN NA MASHINE YA ATM



Mda mwingine maisha hayafanyi haki, Mark Zuckerberg alianzisha mtandao wa Facebook na hadi sasa anaingiza pesa dola bilioni 48 lakini James Goodfellow alianzisha mashine ya ATM na ugunduzi wa PIN, lakini mpka sasa ameondoka akiwa mikono mitupu.

Alipata wazo la kutumiwa kwa nambari za siri kulinda akaunti za benki siku kama ya leo miaka 50 iliyopita.
Uvumbuzi wake ulitokea alipokuwa akijaribu kutatua tatizo lililokabili benki wakati huo. Benki zilitaka kuhakikisha wateja wanaweza kupata pesa wakati benki zimefungwaAlitafakari kwa kina na kugundua kwamba ni mashine pekee iliyokuwa na uwezo wa kusoma nambari hizo na kuzirejesha hadi mfumo wa nambari za kawaida

0 comments:

Post a Comment