LIVERPOOL IMEONYESHA JEZI ZAO MPYA

33FD6F9300000578-3581627-Liverpool_unveiled_their_new_strip_for_the_2016_17_in_front_of_w-a-12_1462822725932

Klabu ya Liverpool ya Uingereza imetoa rasmi jezi zao mpya ambazo watazitumia katika mashindano mbalimbali msimu ujao ikiwemo Ligi Kuu Uingereza.
Mastaa wa Liverpool waliokuwepo katika utambulisho wa jezi hizo ni Jordan Henderson, Philippe Coutinho na Simon Mignolet.
CiCM2vjWUAApwlD


0 comments:

Post a Comment