GOOGLE IMEZINDUA HUDUMA MPYA AMBAYO INAWEZA KUIFUNIKA WHATSAPP
Baada ya kufanya vizuri na mtandao wa Hangout, Google wanakuletea huduma mpya kutuma ujumbe inayoitwa Allo.
Allo imezinduliwa lasmi katika tamasha la Google I/O keynotes ambapo huwa kunakuwa na uzinduzi mpya kuhusu maboresho tofauti katika simu za Android.
Huduma hii ya Allo haina tofauti na mitandao mingine ya kutumiana Ujumbe kwa njia ya Internet kama ilivyo whatsapp, ambapo mtumiaji wa Allo atalazimika kutumia namba zilizopo katika Simu yake ya Android.
Injinia director Eric kay alipata nafasi ya kuelezea huduma hiyo ya Allo ambayo inatarajiwa kuanza kutumika muda sio mrefu kupitia Playstore. Vitu vya muhimu vilivyozungumziwa kuhusu Allo ni kwamba itakuwa na uwezo Google Assistant, Ulinzi na usalama pamoja
Allo kwa sasa bado haijaachiliwa kwenye nyumba ya Playstore, ila Google wametoa huduma ya kujiandikisha kabla ya kuidownload App hiyo
0 comments:
Post a Comment