ANDROID MARSHMALLOW NDANI YA TECNO CAMON C8

Click image for larger version

Name: image_1119.png
Views: 1
Size: 331.6 KB
ID: 1186

Kampuni ya Simu za Tecno imewaletea wateja wake update ya Android Mashmallow 6.0 kwenye simu za Tecno Camon C8.

Baada ya kufanya vizuri na simu zao janja za tecno C5 na C8 kwenye uwezo wa kupiga picha vizuri na huduma ya 4G simu hizo ziliweza fanya vizuri katika soko la simu nchini Tanzania.


Tecno Camon C8 sasa wamekuletea update mpya na yakisasa zaidi android mashmallow ambayo unakuta sifa kemkem kutokana na Update hiyo, ni moja ya hatua kubwa ambayo kampuni hii ya simu inaelekea.


Kupitia website yao ya Tecno wameonyesha njia ambazo mtumiaji wa Camon C8 anavyoweza pata Update hiyo ya Android 6.0.


Click image for larger version

Name: image_1118.jpg
Views: 1
Size: 40.0 KB
ID: 1185

Ili kupata huduma hiyo jinsi ya kudownload update yako ya android marshmallow katika tecno C8 yako tembelea mtandao wa Tecno.

0 comments:

Post a Comment