ALIYE MTUKANA RAISI JOHN MAGUFULI KESI YAKE KUSIKILIZWA MFULULIZO KUANZIA JUNE 7



Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye anatuhumiwa kumtukana Raisi John Pombe Magufuli kupitia ukurasa wa Facebook imeendelea leo kwenye mahakama ya kuu kanda ya Arusha ambapo ushahidi umekamilika na kesi itaanzwa kusikilizwa tena June 7 mwaka huu.

Hakimu mfawidhi Augustino Rwezire anayesikiliza esi hiyo amesema upande wa mashataka tayari umekamilisha ushahidi huo na mtuhumiwa ataendelea na dhamana mpka kesi itakapoanzwa kusikilizwa.

0 comments:

Post a Comment