WHATSAPP WAMELETA HUDUMA MPYA YA KUBADILISHANA DOCUMENT

WhatsApp documents teaser

Kampuni ya Whatsapp ambayo inafanya vizuri katika kwa kupendwa na watu wengi Duniani.
Whatsapp kwa sasa wameleta Updates mpya ya mtandao wao ambao sasa mtumiaji atakuwa na uwezo wa kutuma Document ambayo ipo kwenye mfumo wa PDF.

WhatsApp document sharing
Ili kuweza kutumia huduma hiyo ya Document watumiaji wote wa whatsapp lazima wawe kwenye Updates ya whatsapp Beta ambayo itakuwa ni rahisi kwa wao kutumia Whatsapp Document. 

0 comments:

Post a Comment