VIDEO: CIARA AONESHA UWEZO WA KUCHEZA KUKERE NA DURO

Mziki wa Afrika unazidi kukua na kupata shavu kwa mastaa wa marekani kucheza ngoma zao, safari hii mwanadada Ciara alipost video yake akicheza wimbo wa kukere na Duro kutoka kwa wasanii iyanya na Tekno.


0 comments:

Post a Comment