VIDEO: MRISHO MPOTO FT BANANA ZORO NA FARIDA KATUNGAYE- SIZONJE

Mrisho mpoto, msanii wa muziki wa asili ameachia video ya wimbo wa sizonje aliomshirikisha Banana zoro.
Video imeandaliwa na kampuni ya wanene Filamu chini ya Usimamizi wa director Hanscana


0 comments:

Post a Comment