TANZANIA KUPITIA WAIGIZAJI WAKE IMECHUKUA TUZO ZA AFRICAN MAGIC JIJINI LAGOS USIKU WA MARCH 5



Usiku wa March 5 katika tuzo za African Magic viewers Choice Awards 2016, Tanzania kupitia waigizaji wake wa Bongo movie Single Mtambalike na Elizabeth michael(Lulu) wameibuka kidedea kwa kunyakua tuzo hizo zilizotolewa jijini Lagos Nigeria.
https://scontent.cdninstagram.com/t51.2885-15/e35/12750085_1074872975909662_134041240_n.jpg

0 comments:

Post a Comment