TCRA YAKIRI KUWA ZIGO REMIX NI WIMBO UNAOPENDWA SANA



Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA imekiri kuwa wimbo wa AY zigo remix unapendwa sana

Meneja wa mawasiliano TCRA, Innocent Mungi emedai kuwa walipotangaza kufungia wimbo huo walipokea malalamiko ambayo hawajawahi kuyapata.

"Wimbo huu ulikuwa kwenye demand kubwa yaani ukimwambia mtu autoe huu wimbo ni issue na umeona reaction ya watu" Mungi aliongea katika mkutano maalumu kati ya mamlaka na AY.

Pia AY aliombwa kutochukulia maswala hayo personal kwa kuwa maswaala yaliyotumika ni ya kisheria tu.


0 comments:

Post a Comment