
Asubuhi ya leo March 9 Klabu ya Azam FC imesafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kucheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu yaBidvest Wits ya Afrika Kusini, utakaochezwa weekend hii na wiki mbili baadae kurudiana uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
Hizi ni picha za Azam FC wakiwa Airport kwa ajili ya safari
Picha na millardayo.com
0 comments:
Post a Comment