Kanye anajulikana sana kwa matukio ya kuwarushia ngumi waandishi wa Habari lakini siku hiyo alikuwa malaika kwa kugombelezea Ugomvi huo wa waandishi.
Mtandao wa TMZ ulichukua tukio zima la ngumi mpka kugombelezea tukio hilo la Kanye west katika uwanja huo wa Airport wa Los Angels.
0 comments:
Post a Comment