Kampuni ya Samung wametuletea mwendelezo wa simu zake za GALAXY, ambapo jana walizindua SAMSUNG GALAXY S7 na GALAXY S7 EDGE katika maonesho ya Simu(MWC) katika jiji la Barcelona jana.
Kama ilivyokawaida katika Bidhaa za Samsung huwa wanatoa Simu ambazo huwa zinauwezo wa hali ya juu na Safari hii wameendeleza utamaduni wao na kuifanya Smartphone ya Galaxy S7 kuwa ya Kijanja zaidi ikiwa imesheheni sifa hizi.
Specs | Galaxy S7 | Galaxy S7 Edge |
Display | 5.1-inch Super AMOLED quad HD display | 5.5-inch curved AMOLED quad HD display |
Resolution | 2560 x 1440 pixels | 2560 x 1440 pixels |
Processor | Qualcomm Snapdragon 820 Processor | Qualcomm Snapdragon 820 Processor |
GPU | Adreno 530 | Adreno 530 |
RAM | 4GB | 4GB |
Storage | 32GB/ 64GB | 32GB/ 64GB |
Rear Camera | Dual Pixel 12MP with f/1.7 aperture | Dual Pixel 12MP |
Front Camera | Dual Pixel 5MP | Dual Pixel 5MP |
Expandability | via MicroSD | via MicroSD |
Battery | 3000mAh battery | 3600mAh battery |
Connectivity | Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, Wi-Fi Direct, hotspot, Bluetooth v4.1, A-GPS, GLONASS, NFC | Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, Wi-Fi Direct, hotspot, Bluetooth v4.1, A-GPS, GLONASS, NFC |
OS | Android 6.0 Marshmallow | Android 6.0 Marshmallow |
Galaxy S7 pia imekuja na uwezo wa Kutoruhusu maji kuingia katika simu(water proof) na kwa mara ya kwanza kampuni hiyo imeweka shimo lakuingizia memory card ukilinganisha na Galaxy zilizopita.
T
0 comments:
Post a Comment