SABABU YA AZAM KUBADILI JEZI MBILI KATIKA MCHEZO MMOJA NI HI HAPA..



Timu ya Azam FC jana imeiuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wapinzani wao Mbeya city katika mchezo wa Ligi Kuu Vodacom.

Mechi hiyo ilitawaliwa na mvua kubwa katika kipindi cha pili ambapo ilisababisha Azam FC kubadili jezi mara mbili, kutokana na kulowa kwa jezi zao walizokuwa wametumia kipindi cha Kwanza.


Kipindi cha kwanza timu ya Azam FC ilikuwa imevalia jezi zao za Dark blue na Badae kubadilisha na kutumia jezi zao nyeupe.

Source : Harakati za Soka

0 comments:

Post a Comment