Kupitia mtandao wa Habari wa Bongo 5, Rapper Young Killer amesema kuwa akifunga ndoa mambo yake mengi katika maisha yatafungukuka.
Young Killer aliuambia mtandao wa Bongo 5 tayari yeye na mchumba wake wamechunguzana na wameona wapo tayari kuanza maisha yao mapya ya Ndoa.
"Unajua ukifunga ndoa kuna mambo mengi yanabadilika katika maisha, mungu anafungua milango ya ridhiki, yaani kwa ufupi unapata neema fulani, mimi na Halmaty tunajuana vizuri, hatuja kurupuka kusema hivyo" Alisema young Killer kupitia mtandao wa Bongo 5.
0 comments:
Post a Comment