DJ KHALED NDANI YA ROC NATION LABEL



Rapper Jay z pamoja na management yake ya Roc Nation imemsainisha Dj Khaled  katika label hiyo ambayo inasimamiwa na Jay z.

Video iliyokuwa inamuonesha Rapper Jay z akimkabidhi Dj khaled mkufu special wa Roc Nation ambao ulibakia mmoja baada ya kumpatia J cole na wa mwisho ndio amempatia Producer huyo Khaled

"I don't have an original one, I don't own an original one like at all. Zero. This is my last one." alisema Jay z.
"God is great," alijibu Dj khaled.

0 comments:

Post a Comment