UNAFAHAMU KUWA RANGI YA LIPSTICKS KWA MWANAMKE INAELEZEA TABIA YAKE?

Kupitia mtandao wa Habari wa Teamtz umeeleza kuwa kupitia rangi la lipstick unaweza kujua tabia ya mwanamke na pia sio kila Mwanamke anaweza kuwa natabia hidhi ni baadhi, vilevile usitumie njia kama kuwakashifu baadhi ya wasichana wenye kupenda kupaka aina hizi za Lipsticks.

NYEKUNDU


Tunajua nyekundu ni hatari au mapenzi, mwanamke anaependa rangi nyekundu huyu yupo tayari kwa lolote au tunaweza sema hawa ndo wale wanaitwa Ready for Action. Wana jiamini na wanasimamia misimamo yako ila inaweza kuwa kwa uzuri au ubaya, inategemeana na mtu. Na kwasababu  nyekundu inaonekana sana wanawake wanaopenda kupaka hii pia wanapenda sana kuonekana (attention) lazima akiingia sehemu umuone.

ORANGE(RANGI YA MACHUNGWA)

Wapole, wanataka wanaume watulivu, wanapenda watu wanaowajili, wanaojua kumuheshimu mwanamke, na hawana makeke,

NYEUSI

Wachache wanatumia rangi, hii kwa sababu pia ni moja kati ya rangi inayo shangaza sana ukitumia kama lipstick,ila ukikutana na watu wanaopenda rangi hizi ni zaidi ya machizi, hawa ni watundu hadi kitandani na usipokuwa makini utatolewa knockout.pia ni watu wasiopenda kujichanganya na wengine mara nyingi wanaotumia rangi nyeusi ni kama ishara ya kaa mbali, “keep away” au  “leave me alone”.

PINK

Hii rangi ya  pekeake inamaanisha “nakupenda siwezi sema” kuwa tayari kumsoma binti anaetumia rangi za pinki mda wote akiwa na wewe, ukute anatamani umpe busu na wewe huelewi, wengine wanaita innocent, japokuwa kuna aina nyingi za rangi ya pinki na zingine zinaweza kuwa na maana tofauti inategemea na mpakaji. Usije ukapata wazo moja tu kwa kutazama maana moja, maana zinaweza kuwa nyingi kutokana na mgawanyo wa rangi kuwa makini na hilo.

BROWN

Hawa ni watu wanaojipenda na kijielewa, na rangi hii sio ya kun’gara sana kwahiyo inatumika na watu wanaopenda utulivu, wanawake wasiopenda  au tuseme  wasiopenda (too much attention)  kuonekana sana tofauti na ilivyo kwa wanawake wanaopenda nyekundu,wanawake wa namna hii tunaweza  kusema “they keep low profile”

ZAMBARAU

Hii inasimama kama rangi ya kuonyesha uwezo (power), yaani wanawake walio na majukumu na wanajitegemea.

SOURCE:TEAMTZ

0 comments:

Post a Comment