Kwa upande wa Diamond platnumz amejinyakulia tuzo tatu, ambazo ni;
ARTIST OF THE YEAR imechukuliwa na Diamond Platnumz, ambapo tuzo hiyo ilikuwa ikigombaniwa na Alikiba, Davido, Wizkid, Yemi alade,Sarkodie na Flavour.
Mbili zilizobaki alishinda kutoka kwenye vipengele vya Best East African Artist of the year na Best African Youth choice
Upande wa Vanessa Mdee yeye alinyakua tuzo ya Best African Pop Artiste kupitia nyimbo yake ya Hawajui.
0 comments:
Post a Comment