50 cent amenunua champaign ya gharama zaidi duniani, champaign hiyo ina thamani ya dolla Million 1.8 ambazo ni sawa na Billion 4 za kitanzania,
Champaign hiyo inaitwa Gout de diamantsyenye maana ya Ladha ya Almasi ilitengenezwa na mfanyabiashara mmoja anayeitwa Shammi Shinh.
Logo iliyopo kwenye chupa ya Champaign hiyo imetengenezwa kwa dhahabu na chupa hiyo kwa ndani imetengenezwa kwa almasi nyeupe.
After the Show is the after party, but I’m not opening this until a special occasion. (Gout de diamants). I’m gonna open this bottle of champagne. To celebrate my Angels life,Beulah Jackson on New Year’s Eve’
Aliandika kuwa champaign hiyo hatoinywa mpaka siku ya mwaka mpya.
0 comments:
Post a Comment