WIZKID KUTUMBUIZA DAR ES SALAAM MWEZ HUU

1wizkid

Msanii kutoka Nigeria Wizkid anatarajiwa kutumbuiza Dar oct 31 kwenye tamasha amabalo litaiwa "Wizkid in Dar".

Wizkid ataletwa na Kampuni ya King Entairntment pamoja na East africa radio

0 comments:

Post a Comment