WAYNE ROONEY AKABIDHIWA KIATU CHA DHAHABU KWA KUWA NA ALAMA NYINGI YA MAGOLI ENGLAND

Wayne Rooney alijibebea magoli yake 50 kwenye pambano dhidi ya Switzerland mwezi uliopita, Sir Bobby Chalton akamkabidhi kiatu hicho cha dhahabu licha ya kukosa pambano lake lililochezwa jana kati ya England na Estonia.


Kinara huyo pia atakosa mechi za kuwania EURO 2016 kutokana na kuumia kifundo cha mguu.

Kiatu hicho ambacho kiliwakilishwa jana katika uwanja wa Wembley na kupongezwa kwa alama zake za magoli.

Mshambuliaji huyo pia anaweza kosa mechi yake kati ya Lithuania.


0 comments:

Post a Comment