Baada ya miaka 12, michezo 532 na magoli 246, Wayne Rooney hatimaye ameambiwa yeye sio tena chaguo la kwanza katika kikosi cha Man united
Kocha Jose Mourinho ameamua kuwafungukia washauri wa Wayne Rooney kuwa kamwe hatompanga tena Rooney kwenye kikosi chake cha kwanza, licha ya kutoonesha kutaka kumuuza.
0 comments:
Post a Comment