TAFITI ZINASEMA KWAMBA " IF YOUR READING THIS IS TOO LATE" ALBUM, NDIYO INAONGOZA KWA KUPAKULIWA KWA NJIA ZISIZO KUWA HALALI
Moja ya tafiti zinazofanywa na Seat Smart zinasema kuwa muziki aina ya Hip Hop ndio inaongoza kupakuliwa kwenye mitandao kwa njia ambazo si halali kama sheria inavyotaka.
Drake album yake ya "if your reading this is too late" ndio album inayongoza kupakuliwa kwa njia haramu, ambapo tafiti hizo zimeonesha mtandao wa Kickass torrent ndio unatumika kwa asilimia miamoja kupakuwa nyimbo za wasanii tofauti wa miondoko tofauti ikiwemo ya Rapp, Classical, R n B, Christian na Folks.
Uchunguzi huo umeonesha Rap Music imefikisha jumla ya 456,270 za nyimbo zilizo pakuliwa kwa njia ambazo sio sahihi.
0 comments:
Post a Comment