Maboya yaliyotengenezwa na mfanyakazi mmoja wa vikosi vya majini, yanauwezo wakuokoa takribani wakimbizi elfu moja kutokana na maboya hayo kuwa na uzito wa paundi 165, urefu ukiwa ni futi 82.
Maboya hayo ambayo pia yamewekwa nafasi ya mtu kushikilia bila ya kuanguka.
Kampuni hiyo pia imezungumzia kuhusiana na kutengeneza maboya mengine ambayo yatatumika kuokoa watoto wadogo ambao hawawezi kabisa kuogelea.
Kampuni hiyo ya British marine company ilipata wazo la kutengeneza maboya hayo baada ya kuona picha ya mtoto aliyefariki kwa kuzama ndani ya maji na mwili wake kukutwa ufukweni, jambo ambalo liliwasikitisha sana na ndipo kuamua kutengeneza boya hizo kwa ajili ya uokoaji kwenye bahari ya Mediterania.
0 comments:
Post a Comment