MPIRA WA KIKAPU BADO UNAENDELEA



Mashindano ya mpira wa kikapu ya klabu bingwa kutoka kanda ya tano barani Afrika yanaendelea mjini Kigali.
Timu ya Savio kutoka Tanzania jana ilipoteza mechi yake ya tatu dhidi ya Espoir kutoka Rwanda kwa vikapu 75 kwa 63.
Kwa upande wa wasichana KCCA ya Uganda imeibugiza Don Bosco ya Tanzania vikapu 50 kwa 39.

0 comments:

Post a Comment