Mshindi wa Big Brother Idris sultan alisikika leo kwenye 255 ya clouds fm, kwamba ameshandaa reality show zake ambazo zitakuwa zina rushwa kwenye kiwanda kikubwa cha Holly wood, ambapo kuna luninnga kama mbili zitakuwa zinarusha vipindi vyake.
Reality show hiyo itakuwa na mchanganyiko wa lugha ya Kiswahili na Kingereza, show hiyo itaanza rasmi kuonyeshwa mwishoni mwa mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment