Kwa mujibu wa jarida la Forbes limeeleza kuwa marehemu Michael Jackson ndiye anayeongoza kwa umaarufu(waliofariki) kwa kuinguza mpunga mnene kwa mwaka huu wa dola millioni 115.
Miaka sita sasa toka mfalme huyo wa pop Afariki.
Mpaka sasa ameshikilia nafasi hiyo ya Forbes kwa miaka mitatu sasa
0 comments:
Post a Comment