Barnaba aliiambia Bongo5, kuwa chaanzo ambacho kimemfanya kutoiachia ngoma yake hiyo mpya ni kutokana na joto la uchaguzi linaloendelea nchini.
"Management yangu imeamua kuhairisha kutoa wimbo ijumaa tarehe 30 kwasababu ya uchaguzi tumeona tuupe gap kidogo, kwahiyo napenda niwaambie watu samahani kwasababu watu walikuwa kwenye attention" Alisema Barnaba.
"Lakini ijumaa hii nita release maneno ya verse moja na chorus kwenye mitandao"alimalizia Barnba
0 comments:
Post a Comment