Leo ndani ya kipindi cha XXL, Soudy Brown leo kapiga stori na aliyekua mpenzi wa zamani wa MoseIyobo na kusema kwa sasa anaishi maisha ya furaha na tayari ana mtu wake ambaye hawezi kumuweka wazi.
Anasema alikua na ukaribu sana na Aunt Ezekiel kama marafiki lakini hakuwahi kujua kama angeweza kumgeuka na kumchukulia mpenzi wake ambaye alikuwa bado anampenda sana
Baada ya kuachana na MoseIyobo anasema awali alikua akija kumjulia mtoto hali kutoa matumizi lakini kwa sasa amesitisha kutokana na tabia zake, pia kuna siku mtoto wake alikwenda kwa Aunt lakini akarudi akiwa anaumwa sana.
0 comments:
Post a Comment