KIDOTI TOUR

Jokate Babe
Jokate na team yake ya kidoti wanafanya tour katika shule mbalimbali za Sekondari Dar es salaam..kupitia 255 Jokate amesikika  akisema lengo la ziara hiyo ni kuwahamasisha wanafunzi wawe na utambuzi zaidi wa mazingira yao nje ya darasa, Jumamosi watajumuika na wenzao katika viwanja vya Jangwani na watalipia kiingilio 2000 hiyo ikiwa kabla ya ziara  ila mwanafunzi atalipia elfu tatu getini…fedha zitakazopatikana zitasaidia wanafunzi walemavu.

0 comments:

Post a Comment