DIAMOND PLATNUMZ ANYAKUA TUZO YA BEST AFRICAN ACT KUTOKA MTV EMA

Hii ni tweet iliyotumwa katika kurasa ya Mtvbase Africa ikimpongeza dimond platinum, kwa ushindi aliopata kutoka tuzo za MTV EMA 2015, amechukua tuzo ya BestAfricanAct.

Sauti soulhawakuwa nyuma kumpongeza Diamond kupita kurasa ya instagram ya Diamond nakuandika

MTVEMA imebaki Afrika Mashariki, ilikua yetu mwaka 2014 na sasa ni ya Diamond mwaka 2015, tumpongeze#BestAfricanAct2015 Diamond Platnumz,usisahau kuendelea kumpigia kura sasa hivi anaiwakilisha Afrika kwenye kipengele cha #WorldwideACT, mshindi atatangazwa tarehe 25 October 2015 Milan, Italy‘.

0 comments:

Post a Comment