
Daz baba aliongea haya kupitia kipindi cha Pkanet Bongo cha EA Radio kuwa yeye anaishi maisha yake ya ukweli wala haigizi
"mimi naishi yangu ya kweli, mimi sidanganyi nina Hammer wakati sina hata gali, mimi sina maisha hayo, hatutakiwi kuishi maisha ya kucopy, inabidi tuwe real, mimi napanda daladala kwani mimi nani, wapo watu ambao wanaweza nipatia magari, ukidanganya mtu alafu anakuja unamdanganya utajitia aibu wewe mwenyewe" Alisema Daz Baba
0 comments:
Post a Comment