SERGIO RAMOS AJA NA TATTOO MPYA, FAHAMU MAANA ZAKE

Kama nimfatiliaji wa kandanda barani ulaya jina la Sergio Ramso si mara ya kwanza  kulisikia masikioni mwako mwako, hii leo ramos amechukua vichwa vya habari ulimwenguni.
Image result for sergio ramos
Ramos ambaye anakipiga kunako klabu ya Real madrid hii leo kupitia mtandao wake kijamii wa  instagram amepost picha ambayo inaonesha ameongeza tattoo katika mkono wake, haidha baadhi ya vyombo vya habari na magazeti yameripoti kuwa tattoo hizo zina maana. 

Sergio Ramos mara kadhaa amekuwa muhimili mzuri wa real madrid amekuwa akiifungia magoli muhimu katika michezo muhimu na amekuwa na wastani mzuri wa kufunga magoli kwa nafasi yake anayocheza kama beki wa kati.

hii leo Sergio ramos ameacha maswali kwenye kurasa yake ya instagram mala baada ya kuposti picha inayoonesha mkono wake wa kushoto ukiwa na tattoo mpya na kuomba watu wamuelezee nini zinamaanisha au maana halisi ya tattoo zake, huenda zikawa zinamaanisha hivi japo yeye hajaweka wazi zinamaanisha nn.

namba 19, 32,90,35

19- umri ambao sergio ramos aliitwa rasmi kikosi cha uhispania

32 namba ya jezi aliyoiva pindi yupo sevilla msimu 2004/05


90+ hii ina ashiria ya magoli aliyofunga katika kipindi cha dakika 90 katika fainali ya uefa akiwa na real madrid 

35- namba ya jezi aliyoivaa akiwa sevilla msimu 2003/04.


0 comments:

Post a Comment