MAAMUZI YA LIL WAYNE YAMESHITUA ULIMWENGU

Image result for Lil wayne quit rapping
Inaonekana kama Rapper Lil wayne ameamua kuachana na muziki wa Rap. ila Mack Maine amefunguka kuwa Lil weezy bado yupo.

Picha inaanza tunakurudisha mwaka 2014 ambapo Lil wayne aliamua kutumia kurasa yake ya Twitter kuwatangazia Dunia na mashabiki wake kuwa ameamua kuitema label ya Cash Money records baada ya label hiyo kuchelewesha Album yake.
Hii ni moja ya maneno aliyoandika rapper Lil Wayne.
“To all my fans, I want u to know that my album won’t and hasn’t been released bekuz Baby & Cash Money Rec. refuse to release it,” he wrote. “I want off this label and nothing to do with these people but unfortunately it ain’t that easy.”
Sasa Lil wayne kwa mara nyingine ameushtua umati wa mashabiki wa muziki wa Hiphop baada ya kauli yake aliyoiandika jana tarehe 2 katika kurasa yake ya Twitter ambayo inaonyesha kama ameamua kuachana na muziki wa Hiphop.
“I AM NOW DEFENSELESS AND mentally DEFEATED & I leave gracefully and thankful I luh my fanz but I’m dun,” he wrote. “Ain’t lookin for sympathy, just serenity.”
Lakini katika sakata hilo moja ya mashabiki aliamua kumcheki Rick Ross na kumwambia kuwa inabidi afanye msaada kumchukua Lil Wayne ili asije potea, hata hivyo Lil Wayne ameshaachia album yake ya mwaka uliopita ambayo ni FREE WEEZY ALBUM

0 comments:

Post a Comment