Kwa mujibu wa Mail Online, maafisa waliitwa kutoka kituo cha polisi cha West Mercia kwenye nyumba ya Telford, Uingereza usiku kwa wito wa kuangalia usalama wa watu.
Walipofika, Taser ilitumika kwa Dalian Atkinson. Mchezaji huyo alipewa matibabu lakini alitangazwa kufariki baada ya muda mfupi.
kitengo cha police West Mercia wamesema hawawezi kusema chochote kutokana na suala hilo kupelekewa kwenye tume huru ya malalamiko ya polisi.
0 comments:
Post a Comment