MTOTO WA MADEE AMESABABISHA MAKUBWA

Image result for madee
Raisi wa Manzese Madee Sheneyda ameamua kubadilisha staili yake ya uimbaji na kubadilika kabisa kwa ajili ya Mtoto wake.
Madee Sheneyda ni moja ya wasanii ambao wamefanikiwa kuwa na mtoto katika Maisha yao ya muziki, mtoto  huyo ambaye anaitwa jina la Saida Madee anayesoma katika shule ya St Frolence darasa la tatu, amekuwa ni chachu ya kubadilisha mwenendo wa muziki wa Madee kwa asilimia kubwa.
Akiongea na CloudsFm kupitia kipindi cha xxl, Madee amefunguka kuwa ameamua kubadilisha aina ya ufanyaji muziki wake kutokana na kupata matatizo ambayo yanamfanya mtoto wake kuwa na maswali mengi kwa Baba yake, vilevile matatizo ya Kwenye Media.


0 comments:

Post a Comment