Leo katika historia, tarehe kama ya leo katika historia 18/8/1943 alizaliwa aliyekuwa captain wa Ac Millan Gianni Rivera, katika mjii wa alessandria Italia ambaye alitambulika kwa jina maarufu la "Golden Boy" Gianni Riveraalifanikiwa kuwa mchezaji bora wa dunia 1969, Golden boy alianza kucheza soka la kulipwa katika mji aliozaliwa mwaka 1959 kisha na kujiunga na klabu ya Ac Milan 1960 na kustaafu soka katika klabu ya Ac Millan 1979.
haya ndo mafanikio binafsi aliyoyapata katika kipindi cha maisha yake ya soka "Golden Boy"Gianni Rivera.
Ballon d'Or: 1969
FIFA XI: 1967
Serie A Top Scorer: 1972–73 (shared with Giuseppe Savoldi and Paolino Pulici)
0 comments:
Post a Comment