Katibu Mtendaji wa Necta, Charles Msondena amesema kuwa shule za wavulana ndizo zimeonekana kufanya vizuri kwenye kumi bora.Aidha Msondena ameongeza kuwa ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.
Shule 10 zilizofanya vizuri kwenye matokeo hayo ni pamoja na Kisimiri (Arusha), Feza Boys (Dar es Salaam), Alliance Girls (Mwanza), Feza Girls (Dar es Salaam), Marian Boys (Pwani), Tabora Boys (Tabora), Kibaha (Pwani), Mzumbe (Morogoro), Ilboru (Arusha) na Tandahimba (Mtwara).
0 comments:
Post a Comment