WANAOGONGA MABASI YA MWENDOKASI KUKUTANA NA FAINI HII



Baada ya kutokea kwa ajari nyingi zinazohusisha mabasi ya Mwendokasi, Meneja mahusiano wa Mabasi hayo ya Dart, William Gatambi amezungumzia swala la kupitishwa kwa sheria ndogondogo zitakazo husu barabara ya zinazotumiwa na mabasi hayo na kuweka faini ya shilingi 30,000 kwa atakayesababisha ajali hiyo.


View image 

0 comments:

Post a Comment