Msanii kutoka South Afrika anayetamba na kibao chake cha Make me sing, AKA amekutana uso kwa uso na Waigizaji wa Tamthilia ya Empire.
Aka ameshare picha hizo kwenye ukurasa wake wa Twitter akiwa na waigizaji hao ambao wanatarajiwa kukaa kwenye ziara hiyo ya siku Tano
Terrence na Taraji wapo nchini Afrika kusini kwa ajili ya kupromote tamthilia yao ya Empire huko nchini Afrika kusini.


0 comments:
Post a Comment