WALIOTENGEZA SIRI(ASSISTANT) KWA IPHONE WAJA NA KITU KINGINE
Kampuni za Apple, Microsoft na Google zilitengeza visaidizi katika simu zao ambazo zinauwezo wakusaidia mtumiaji kuuliza swali lolote na kutafuta kitu mtandaoni kwa kutumia sauti yako.
Baada ya visaidizi hivyo kufanya vizuri ambavyo ni (Siri, cortana na ok google) kampuni ya VIV imekuja kuleta mapinduzi kweenye ulimwengu wa visaidizi vya simu.
HISTORIA FUPI YA KAMPUNI YA VIV LAB:
Viv hapo awali ilishawahi kutengeneza kisaidizi cha Siri ambacho ni marufu katika bidhaa za Apple, kilitengenezwa na kampuni hiyo na kuiuza kwa Apple mwaka 2010.
Kwa mujibu wa kampuni hiyo ya Viv Lab bado haijaweka wazi kuwa kisaidizi hicho pia watakiuza kwa kampuni ya simu kama walivyofanya mara ya kwanza kwenye kampuni ya Apple.
Kisaidizi Vivv atazinduliwa rasmi siku ya jumatatu
0 comments:
Post a Comment