MAPENZI YA WOLPER KWA HARMONIZE YAMEFIKA MPAKA NYUMBANI

.

Baada ya Jackline wolper na Harmonize kuweka wazi mahusiano yao ya kimapenzi, wawili hao hawakuacha headline hizo ziishie tu hivihivi.

Mwanadada Wolper kupitia ukurasa wa instagram aliamua kushare na mashabiki wake kuonyesha kuwa Uhusiano wao ni wa kweli na kupelekana hadi ukweni.

.

.

.’Iam having the best time of my life.. Nikiwa na Mama yangu Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe Mjipikilishe Akushauri Hapa nimepata rafiki kwa kweli…I love my mama Mkwe.. Mama Raj’ – Wolper


0 comments:

Post a Comment