J,COLE NDIYE RAPPER ALIYELIPWA PESA NYINGI 2015

J. Cole Named Highest-Paid Rapper Of 2015

J cole ndiye rapper ambaye ameshika namba moja kwa kulipwa pesa nyingi mwaka jana 2015 kupitia jaarida la Billboard "TOP MONEY MAKER LIST"

Kupitia ngoma yake ya "love yours" ilimwingizia pesa za kimarekani $8.8 milioni huku akipata na mshavu mengine ya kufanya show sehemu tofautitofauti Duniani. kwenye show zake zote alizopiga aliingiza $5.5 milioni, mauzo ya Album yake ya LP 2014 FORREST HILLS DRIVE ilimwingizia $1.5 milioni, $1.1 milioni kwa usambazaji na $78,0000 kwa kusikiliza online.

Wasanii wengine ambao wametajwa kushika nafasi katika orodha hiyo ni Nicki minaj, Drake na The weekend

0 comments:

Post a Comment