Yanga ndiyo mabingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kuitwanga Azam FC kwa mabao 3-1 katika mechi ya fainali kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
Wakati Juma anakuwa mchezaji bora, Kipa wa Azam FC, Aishi Manula ametangwa kuwa kipa bora na mshambuliaji wa Ndanda FC, Atupele Green ndiye mpachikaji mabao bora
Beki wa kulia wa Yanga, Juma Abdul amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa michuano ya Kombe la Shirikisho.
picha kwa hisani:salimjembe blogspot
Kipa wa Azam FC akipokea tuzo ya mlinda mlango bora wa Kombe la ASFC.
Mshambuliaji wa Ndanda FC ya Mtwara, Atupele Green (kushoto) akipokea tuzo ya Mfungaji Bora wa mashindano hayo
PICHA NA BIN ZUBERY ONLINE

0 comments:
Post a Comment