Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo vyao vya sasa.
Hawa ni Makatibu Tawala wapya walioteuliwa na rais Magufuli:
Arusha – Richard Kwitega
Geita – Selestine Muhochi Gesimba
Kagera – Armatus C. Msole
Kilimanjaro – Eng. Aisha Amour
Pwani – Zuberi Mhina Samataba
Shinyanga – Albert Gabriel Msovela
Singida – Dr. Angelina Mageni Lutambi
Simiyu – Jumanne Abdallah Sagini
Tabora – Dkt. Thea Medard Ntara
Tanga – Eng. Zena Said
Hawa ni makatibu tawala waliobadilishiwa vituo vya kazi:
Kigoma – Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita)
Morogoro – Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)
Hawa ni makatibu tawala waliobakia kwenye vituo vyao vya mwanzo:
Dar es salaam -Theresia Louis Mbando
Dodoma – Rehema Hussein Madenge
Iringa – Wamoja Ayubu Dickolagwa
Katavi – CP Paul Chagonja
Lindi – Ramadhan Habibu Kaswa
Mara – Benedict Richard Ole Kuyan
Manyara – Eliakimu Chacha Maswi
Mbeya- Mariam Amri Mjunguja
Mtwara – Alfred Cosmas Luanda
Mwanza – CP. Clodwing Mathew Mtweve
Njombe – Jackson Lesika Saitabau
Rukwa – Symthies Emmanuel Pangisa
Ruvuma – Hassan Mpali Bendeyeko
Aidha Makatibu Tawala wapya walioteuliwa wataapishwa ikulu siku ya Jumatano, April 27..
0 comments:
Post a Comment