Timu ya Manchester city na Real madrid zimefanikiwa kusonga mbele kwenye hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa ulaya baada ya Manchester city kuipa kipigo cha bao 1-0 Psg.
Real Madrid nayo imetembeza kipigo cha mabao 3-0 kwa Wolf-sburg baada ya Christian rolnado kufunga mabao matatu peke yake katika mchezo
Michuano hii itaendelea tena leo Jumatano, ambapo Benefica itamenyana Bayern huku Atletico madrid ikishuka dimbani na Barcelona
0 comments:
Post a Comment