KUTANA NA GODOLO LINALO KUJULISHA KAMA MPENZI WAKO ANAKUSALITI



Wengi wanalalamika kuwa wanasalitiwa na wapenzi wao pale wanapotoka kwenda makazini au safari, kutokana na swala hilo kuumiza watu wengi Duniani Kampuni ya Kispanishi imetengeza Godoro ambalo lina uwezo wa kutambua misukumo ambayo si ya kawaida katika Godolo lako.

Kampuni hiyo ambayo imeamua kubuni Godolo hilo ili kuwasaidia watu kutoteseka au kusalitiwa na wapenzi wao na kuamua kuja na Godolo hilo ambalo litakuwa linatuma ujumbe katika simu yako ya Android au Iphone kukujulisha Misukumo ambayo haieleweki kwenye Godolo lako.

Godoro hilo linatumia vifaa 24 ambavyo vinasaidia kugundua misukumo kutoka kila kona ya Godoro lako


Vipi unasemaje juu ya Godolo la kisasa lenye uwezo wa kugundua kama mwenza wako anakusaliti.

0 comments:

Post a Comment