Kampuni ya Sony leoimeachia update ya Android Marshmallow 6.0, na update hiyo pia imetoka kwa model zote ikiwemo Sony Z5 premium na Sony Z5 compact.
Update hiyo katika Sony yako imekuletea huduma mpya ambayo itafanya kuiweka simu yako katika Doze mode ambayo betry yako haitoenda kwa haraka pale ipokuwa off, hudma ya Google on Tap pia itakuwa available...
Fanya kutembelea setting yako na ili kuweza fanya Update ya Sony experia Z5.
0 comments:
Post a Comment